Wageni wa CHADEMA Mhe. Joshua Nassari (shoto) na Mchungaji Peter Msingwa ambao ni Wabunge wa chama hicho, wakiwasili kwa ajili ya mkutano wao Jumapili tarehe 27, 2012, kulia ni Mhe. Leticia Nyerere ambae alikuja kuwapokea
Kutoka kushoto ni mwenyeki wa CHADEMA DMV akipata picha ya na pamoja na waheshimiwa Wabunge Joshua Nassari (wapili toka shoto) na Mchungaji Peter Msingwa ( wapili toka kulia) waliokuja maalum kwenye mkutano na wanachama wa CHADEMA DMV Jumapili May 27, 2012 The Mirage Hall iliyopo 1401 University Blvd.
Kadi za CHADEMA zikiwa pamoja na Bendera ya chama hicho.
Wageni wa CHADEMA Mhe. Mbuge Joshua Nassari (wapili toka shoto) akiwa na Mhe. Mbunge, Peter Msingwa wakiwa na wenyeji wao.
Mhe, Mbunge Mchungaji Peter Msungwa(kusohoto) pamoja na Mhe. Joshua Nassari, wakipiga picha na Libe
No comments:
Post a Comment