Jumuiya ya Watanzania - DMV inasikitika kuwatangazia wana Jumuiya wa DMV kuwa, Ndugu Zuberi Majid amefiwa na mama yake mzazi huko Tanzania leo tarehe 26 May 2012.
Watanzania tumejaliwa moyo wa upendo na kama ilivyo jadi na kawaida yetu, tunaomba sote tuungane pamoja ili tuweze kumpa pole na kumfariji ndugu yetu Zuberi katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi kwake na familia yake.
Msiba upo 11905 Old Columbia Pike, Silver Spring, Maryland.
Simu: 240-286-4576 au 240-353-7785
KATIBU WA JUMUIYA
No comments:
Post a Comment