ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 12, 2012

Nyeti za mwanaume zang'ang'ania kwa mwanamke wa mtu


Jana mchana imetokea ishu moja ya ajabu kwenye jiji kuu wanakotoka mastaa kama Avril, Jua cali, Nonini na wengine, NAIROBI 254. 

Wakati wa mchana katika kijiji cha TASSIA, EMBAKASI NAIROBI jamaa mmoja amekutwa akiwa AMEKWAMA yani mwili wake na umenasa na kukataa kuachiana na mwili wa  MKE WA MTU walipokuwa wanajiburudisha. 

JAMAA mwenyewe anadaiwa kuwa wa jamii ya WAKISII na mke wa mtu ana asili ya jamii ya WAKAMBA, ambapo inasemekana baada ya stori kuendelea sana kwamba jamaa anaiba mke wa mtu, MUME ilibidi aende kwa MGANGA kumfunga MKE WAKE ili asifanye mapenzi nje ya NDOA na akifanya hivyo ATAKWAMA, yani kukwamba wana maanisha jamaa yeyote atakae ingia kwenye mtego mwili wake hautoachana na mwili wa mwanamke huyo, itashikana na aibu iwakute.

Kwa habari zaidi na Video ya mkasa huu Bofya read more:
Warning:usionyeshe Video hii kwa watoto 


Shuhuda wa tukio hilo amesema “huyu jamaa amekutwa kwa nyumba ya mtu akihanyahanya bibi ya mwenzake, naona ni uchawi sasa polisi wamewachukua wakiwa wameshikana hivyo hivyo” Sasa baada ya wawili hao kufumaniwa, wamechukuliwa na polisi wakiwa hivyo hiyvo miili yao imeungana na hakuna uwezekano wa madaktari kuwatenganisha, kinachotakiwa hapo ni mpaka mume wa huyo mwanamke atakapo kwenda kwa mganga aliefanya hayo mambo ndio atengue.

3 comments:

Anonymous said...

safi sanaaaaa,

bagasa said...

Kaka mbona maelezo ya habari hayaendani na video. Unaeleza ilibidi polis wawachukue hivyo hivyo, lakini inaonekana wame nasuana seheemu ya tukio.

Na inaeleza mpaka mumewe aende kwa mganga lakini inaonekana kunamchungaji kaomba na sio mganga. Yaani hii habari imekaa kiaina tu.

Anonymous said...

wakome vibeberu kuiba wake za watu fundisho kwa vijanadume wezi wa wake za watu pao sana hii