Inaaminika kwamba ni idadi kubwa ya watu waliopelekwa hospitali kutokana na kujeruhiwa kwenye mlipuko wa bomu Nairobi Kenya leo Moi Avenue street, ulipuaji huo wa bomu unaaminika kufanywa na kikundi cha wanamgambo wa Al Shabaab Somalia.
![]() |
| Mlipuko huo ulifanya baadhi ya majengo mengine ya karibu kutingishika ambapo ulitokea kwenye saa saba na dakika kumi leo mchana, mpaka sasa haiko wazi ni wangapi wamejeruhiwa au kupoteza maisha. |



No comments:
Post a Comment