ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 7, 2012

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA ATINGA KIZIMBANI KUTOA USHAHIDI KATIKA KESI YA BALOZI MAHALU


Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kutoa ushahidi wake katika kesi inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa  Costa Mahalu,  anayekabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi.

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa akiondoka Mahakama hapo baada ya kutoa ushahidi wake. (picha na Michuzi)

1 comment:

Anonymous said...

Sasa napewa escort ya nini wakati ni raia tu