Mfanya Biashara akiwa ameistukia Dola kuwa ilikuwa ni feki na kumkomalia muuzaji
Muuzaji wa Dola akiwa anaendelea kulazimisha kuwa ile dola 100 ilikuwa ni ya ukweli
Hapa mfanya Biashara amechachamaa na kumshikilia huyu jamaa anae uza dola Feki
Jamaa akiwa ameshilikia Dola yake feki
Wanausalama wamesha fika eneo la tukio na kumchukua muuza dola feki
Wana usalama sasa wamewachukua jamaa wanawapeleke kituo cha polisi
Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.






No comments:
Post a Comment