UNION OF TANZANIANS NORTH CAROLINA
KAMATI YA UCHAGUZI
RIPOTI YA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU
Kwa niaba ya Kamati ya uchaguzi, Natanguliza shukrani kwa washiriki wa uchaguzi mkuu wa UTNC. Napenda kuchukua fursa hii rasmi kuwatangazia matokeo ya uchaguzi uliofanyika jana Jumamosi May 19, wa kugombania nafasi zote za uongozi.
Wafuatao ndio walioshinda uchaguzi wa uongozi wa UTNC wa 2012.
Geoffrey Lepana amechaguliwa kuwa Mwenyekiti
Shaban Mwampambe, Katibu
Nisa Kibona, Katibu Msaidizi
David Mushi, Katibu
Bremer Lyimo, Hazina Msaidizi
Na wajumbe wa bodi ni kama wafuatao;
Farhat Kassim
Hajj Abdallah
Talkin Tumbi
Brian Lema
UTNC & TCLA-US
P.O.Box 52531
Durham,NC 27717
No comments:
Post a Comment