ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 7, 2012

VIJIMAMBO YATINGA COLLEGE PARK, MARYLAND

 Mama Lyimo A na Mama Lyimo B wakiwa nje ya Kanisa baada ya ibada yao ya Jumapili College Park
 Mama Shayo (shoto) akiwa na rafiki yake nje ya Kanisa College park baada ya ibada ya Jumapili.
 Waumini wakiwa nje ya kanisa baada ya ibada ya Jumapili College Park
 Mzee wa kunani pale Joel akipata picha baada ya Ibada ya jumapili College Park
 Jocob akibadilishana mawili mtatu na Mama Lyimo
Waumini wakibadilishana mawili matatu baada ya Ibada ya Jumapili College Park.

No comments: