ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 8, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBLEA WAZIRI MWANDOSYA JIJINI DAR



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es Salaam kumjulia hali , Mei7, 2012. Katikati ni Mke wa Waziri huyo, Mama Lucy Mwandosya.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri  Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es Salaam jana kumjulia hali.
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es Salaam jana kumjulia hali.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments: