Juu na chini Nape akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM eneo la Soko Kuu mjini Iringa
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutumia umati wa watu katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika leo jioni, Juni 17, 2012, kwenye eneo la Soko Kuu mjini Iringa. (Picha na Bashir Nkoromno)
No comments:
Post a Comment