Kocha wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Kim Poulsen akizungumza wakati wa hafla ya kuiaga timuhiyo iliyoondoka leo alfajiri kwenda Msumbiji kucheza mechi ya marudiano ya mchujo wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani. (Picha na Charles Lucas)
Mchezaji Goodluck Mabiriki wa Ilala (kulia) akigombea mpira na mshambuliaji wa timu ya Lindi, Khalfan Malibiche wakati wa fainali za michuano ya Airtel Rising Stars inayoendelea kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
Wanyange wanaowania taji la Redd's Miss Kigamboni 2012 wakiwa katika mazoezi jana, mashindano hayo yanatarajia kufanyika leo katika Ukumbi wa Navy Beach, Kigamboni. (Picha na Victor Mkumbo)
Picha na Majira
No comments:
Post a Comment