Kama ambavyo tulitangaza juma lililopita, kulikuwa na kikao kujadili hali ya Ndg. Domi.
Katika kikao hicho, ilikubaliwa kukutana juma hili kujua maendeleo zaidi na maamuzi ya madaktari kuhusu hali yake.
Kikao kati ya madaktari na ndugu wa Bwn. Domitian kitafanyika leo alasiri, hivyo tunapenda kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki kuwa HAKUTAKUWA NA KIKAO IJUMAA HII kwa kuwa muda wa kikao ndio ambao ndugu na madaktari watakuwa kikaoni.
TUTAKUTANA IJUMAA IJAYO
Asanteni
No comments:
Post a Comment