Advertisements

Saturday, June 9, 2012

MATUKIO MBALIMBALI MKUTANO WA CCM JANGWANI LEO

 Vijana wakishangilia kwenye mkutano wa CCM Jangwani, Dar es Salaam
 Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia.
 Dk. John Magufuli akihutubia
 Waandishi wa habari wakiwa kazini kwenye mkutano huo
 Watangazajai wa TBC1 wakiwa live kwenye mkutano huo.
 Vijana wakichangamka kurudisha kadi za Chadema mbele ya Nape na Kinana
 Kadi zilizorudishwa
 Nape akichakaza Gitaa la Bezi na vijana jazz
 Viongiozi waliohudhuria mkutano huo.
 Chege akitumbuiza 
 Nape akifuatilia mambo yanavyokwenda kwenye mkutano huo
 watu kibao mkutanoni
 Watu kibao
Kwa picha zaidi Bofya Read More

 Nape akihamasisha kwenye mkutano huo, Kushoto ni Mlezi wa mkoa wa Dar, Abdulrahman Kinana
 Ujumbe muhimu wa wana-CCM
 Ujumbe muhimu wa wana- CCM
 Bango la JK Oyeee.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Stephen Wasira akizungumza
 Waziri wa Ardhi Anna Tibaijuka akihutubia

No comments: