Karibu tutampata Hasheem Thabeet mwingine,huyo kijana mrefu mwingine ni kijana maarufu sana hapa mwanza kwa jina la KANU.Alikuwa akikusanya mabox kwenye maduka ya mitaa ya Kaluta na Lumumba na kwenda kuyauza.Kwa sasa amechukuliwa na kituo cha vipaji cha makongo chini ya mkufuzi mzee idd kipingu,anafundishwa mchezo wa kikapu
No comments:
Post a Comment