Elizabeth Gupta-pam wengi tunamfahamu kupitia shindano la Big
Brother baadae akaolewa na mshiriki mwenzake kutoka Nigeria. Kwa hivi
sasa Elizabeth anacheza katika movie mpya inayokwenda kwa jina la THE CARTEL ambayo imewashirikisha wasanii mbalimbali kutoka Naija, Ghana, South Africa na Tanzania ambaye yeye Elizabeth ndio anatuwakilisha. Na nimeambiwa wasanii wenye majina makubwa waliocheza ni pamoja na Mike Ezuruonye, Martha, John Njamah na Luclay ambaye alikuwa BBA.
1 comment:
Hii imekaaa vizuri sana
Post a Comment