MWANADIASPORA, DR. RAMADHANI MWIRU ALONGA NA VIJIMAMBO
Longa na Vijimambo italonga na Mwnadiaspora Dr. Ramadhani Mwiru, akielezea Maisha yake kwa ufupi, yeye ni mwanafunzi chuo kikuu cha Harvard, Boston, MA maswala ya maambukizi ya ukimwikwa watoto, juhudi gani zifanywe kuepuka tatizo hilo, je watu wanaoambukiza virusi kwa makusudi ni atua gani wachukuliwe, MSIKILIZE
1 comment:
Huyu jamaa namfahamu sana alikuwa anaishi pale Mkwawa namba 3 pale Mzumbe Sekondari.Mi nilikuwa kidato cha kwanza wakati huo, jamaa ana akili sana huyo.
Post a Comment