Mbunge wa Maswa Mashariki, Bw. John Shibuda (kushoto), akiteta na familia ya aliyekuwa Mwasisi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Marehemu Bob Makani, nyumbani kwake Mbezi Beach, Dar es Salaam jana. Maremu aliyefariki kwenye Hospitali ya Aga Khan juzi, atasafirishwa leo jioni kwenda Kishapu, mkoani Shinyanga. (Picha na Peter Mwenda)
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete katika moja ya mikutano yake ya kampeni ya kuomba kura kwa wananchi mwaka 2010.
Bw. John Shibuda akiwahutubia waumini wa madhehebu ya Waadvensta Wasabato wa Mjini Shinyanga hivi karibuni ambapo alirejea tena kauli yake ya kutaka kugombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Picha na Suleiman Abeid.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Tobacco Processors Limited,Deon Haigh ambayo kampuni tanzu ya Universal Leaf Tanzania, (katikati) akimtunuku cheti mmojo wa washindi wa michezo wa kiduku kwa watoto Amina Noses katika bonanza la wanafamilia waUniversal lililofanyika Morogoro mwishoni mwa wiki.Anayeshuhudia ni Meneja Rasilimali Watu wa kampuni hiyo,Charles Msubi.Na Mpigapicha Wetu.
Utandawazi umesaidia kurahisisha mawasiliano na kazi duniani.
Miti ikiwa imekatwa kwa matumizi ya nyumbani.Ushirikiano katika kupambana na uharibifu wa mazingira na elimu kwa wananchi vitasaidia kupunguza vitendo vya ukataji miti ovyo.
Picha kwa hisani ya Majira
No comments:
Post a Comment