ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 11, 2012

AJALI MBAYA YATOKEA ARUSHA LEO

 Ajali imetokea eneo la Kibo-Mbauda jijini Arusha kati ya Dala-dala yenye namba za usajili T667-BUK iliyo gongana na Scania namba T475-BNA na kusababisha majeruhi takribani watano na kwa baadhi ya mashahibi wamese "dereva yawezekana kufariki"
 Ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa dereva wa dala-dala ambaye alihamia upande usio wake kwaajili ya kuchukua abiria waliokuwa wanaelekea kwa Moromboo jijini Arusha, na wakati anondoka kuelekea upande wake baada ya kupakiza abiria ndipo alipo vaana na scania hilo.
Walio zurika ni waliokuwepo ndani ya dala-dala,Dereva wa scania na waliokuwepo ndani wametoka salama bila majeraha yoyote.

Picha kwa hisani ya Elly Mbeyale

No comments: