ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 11, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI VIWANJA VYA KARIMJEE


Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu wa Rais wa pili kutoka kushoto na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wa mwisho kushoto wakiongoza waombolezaji  kwenye viwanja vya Karimjee wakati Mwili wa muasisi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mzee Bob Makani ulipoagwa leo jijini Dar es salaam
Mwili wa Marehemu Bob Makani ukiwa umewekwa eneo maalum tayari kwa kuaga mwili huo leo kwenye viwanja vya Karimjee.
Mwili wa Marehemu Bob Makani ukiteremshwa kwenyegari ili kuwekwa eneo hilo kwa ajili ya waombolezaji kutoa heshima zao za mwisho.
Mwili ukiwekwa tayari kwa ajili ya waombolezaji kuuaga rasmi kabla ya kuzikwa huko Shinyanga.(PICHA KWA HISANI YA MJENGWA BLOG)

No comments: