ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 11, 2012

RED CARPET YA TIGU INC NA VIVAZI VILIVYO TAMBA

Dj Dulli kutoka Seattle akiwa na Jingo na mama mwenye nyumba wake ukodak wa vijimambo.
Mkurugenzi wa TIGU Nancy katika Ukodak moment
Mkurugenzi wa TIGU Nancy Assenga akiwa na ma designer Asia Idarous na Khadija Mwanamboka Ukodak moment 
Washiriki kutoka sehemu mbalimbali wakipata ipacha ya pamoja kwenye zulia jekundu
CEO wa Dream Record David na ukodak moment
Walter Minja Mkurugenzi wa Powering potential, and Director of ICT akiwa na CEO TASOET Christopher Mwakasege. 

Sister Mbahuwa kushoto na Bi Zainabu '"Mdhamini wa pendo"" wa  Haji Jingo wakipata ukodak wa vijimambo.
Juu na chini ni Washiriki waliofika kwenye mktano wa TIGU wakipata picha ya pamoja kwenye zulia jekundu
Kwa picha zaidi Bofya read more

1 comment:

Anonymous said...

dj luke umeshindwa hata kusema kwamba mama mwenye nyumba wa jingo ni mama yake imekushindwa hilo, na pili namfagilia sana maryam white my goodness kama hujaolewa baby mimi niko tayari kuja kutoa mahari niambiye

dj luke please weka hii comment