ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 11, 2012

NAPE AJUMUIKA KATIKA KUAGA MWILI WA MUASISI WA CHADEMA

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Wlboard Slaa wakati wa kuaga mwili wa muasisi wa CHADEMA, Bob Makani katika viwanja vya Karimujee, waliosimama kati ni Mwenyekiti wa CHADEMA na mkuu wa kambi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe, mwenye shati la Blue ni waziri kivuli kambi ya upinzani Mhe. Ezekiel Wenji.
 Nape Nnauye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM akiongea jambo na Katibu wa CHADEMA, Dr.Wilboard Slaa katibu Mkuu wa CHADEMA, huku Mwenyekiti mkuu wa kambi ya upinzani Bungeeni, Mhe.Freeman Mbowe akichangia jambo.
Katib wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye akiongea jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dr. Wilbroad Slaa.

No comments: