|
Dj Dulli kutoka Seattle akiwa na Jingo na mama mwenye nyumba wake ukodak wa vijimambo. |
|
Mkurugenzi wa TIGU Nancy katika Ukodak moment |
|
Mkurugenzi wa TIGU Nancy Assenga akiwa na ma designer Asia Idarous na Khadija Mwanamboka Ukodak moment |
Washiriki kutoka sehemu mbalimbali wakipata ipacha ya pamoja kwenye zulia jekundu
|
CEO wa Dream Record David na ukodak moment |
|
Walter Minja Mkurugenzi wa Powering potential, and Director of ICT akiwa na CEO TASOET Christopher Mwakasege. |
Sister Mbahuwa kushoto na Bi Zainabu '"Mdhamini wa pendo"" wa Haji Jingo wakipata ukodak wa vijimambo.
|
Juu na chini ni Washiriki waliofika kwenye mktano wa TIGU wakipata picha ya pamoja kwenye zulia jekundu |
Kwa picha zaidi Bofya read more
1 comment:
dj luke umeshindwa hata kusema kwamba mama mwenye nyumba wa jingo ni mama yake imekushindwa hilo, na pili namfagilia sana maryam white my goodness kama hujaolewa baby mimi niko tayari kuja kutoa mahari niambiye
dj luke please weka hii comment
Post a Comment