Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa Watanzania wenzangu wote tulioshiriki nao katika matembezi ya "Susan G. Komen Global Race for the Cure", na pia nawashukuru wale ambao hawakuweza kushiriki nasi kwa michango yao mbalimbali katika kufanikisha shughuli hii.
Pili, ningependa kuchukua fursa hii kuushukuru Ubalozi wetu kwa ushirikiano wao mkubwa waliotupa kuweza kufanikisha shughuli hii.
Na mwisho ningependa kutoa shukurani zangu za dhati kwa vyombo vya mawasiliano (ya mtandao) katika jumuiya yetu ya Watanzania kwa mchango wao mkubwa wa kutawanya habari.
AHSANTENI KWA USHIRIKIANO WENU.
"MUNGU ATUBARIKI SOTE".
No comments:
Post a Comment