Juu na chini ni Mdau Vincent Mughwai akiwa nje ya jengo la Ronald Regan alipokua akuhudhulia mkutano wa US- Sub Saharan Africa Trade and Economic Forum uliokua ukiendelea wiki hii Jiji Washington, DC Nchini Marekani
Vincent Mughwai akipata picha ya pamoja na Wajumbe wengine waliohudhulia mkutano huo.
Vincent Mughwai akiwa na wajumbe wengine wakifuatilia mkutano
Mama Hilary Clinton akihutubia
Vincent Mughwai (kulia) akipiga picha ya pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara. mhe. Abdalah Kigoda
Vincent Mughwai (shoto) akipata picha ya pamoja na ohhnie Carson, US Asst. Secretary of State, Bureau of African Affairs
Vincent Mughwai (kushoto) akipata picha na Balozi wa AU Nchini Marekani, Mhe. Amina Salum Ali
No comments:
Post a Comment