HIVI KWANINI WABUNGE WETU WANALALAMIKA JUU YA BAJETI BADALA YA KUTIMIZA WAJIBU WAO?! WANAMLALAMIKIA NANI? Kimsingi bajeti inapopelekwa Bungeni na serikali inakwenda kwa ajili ya mjadala na marekebisho palipo na mapungufu NA SI KUPITISHWA KAMA WAJIBU TU, tunategemea mjadala wenye lengo la kiboresha kwa faida ya wananchi. Sasa haya malalamiko ya baadhi ya wabunge barabarani, mara " niko tayari kufukuzwa"!! Nani anamfukuza nani?! Nani anayetishia uhuru, haki na wajibu wa kikatiba wa wabunge wetu mpaka wanalalamika barabarani?!! Nashauri wabunge timizeni wajibu wenu, jadilini na kuishauri serikali ndani ya bunge juu ya maboresho ya bajeti iliyoletwa kwenu!
Nape Moses Nnauye
Chama Cha Mapinduzi
Ideology and Publicity Secretary
1 comment:
TATIZO LA WABUNGE WA CHADEMA WENGI HAWANA WASIFU. WASIFU WAO NI UANAHARAKATI. MNYIKA ANAJIFANYA MPAYUKAJI LAKINI HANA SHULE INAYOELEWEKA. ANAFAHAMU MAMBO JUU JUU SASA ETI BAJETI IKIWA MBAYA ANAMLAUMU RAIS. HATA BUDGET CYCLES HAZIFAHAMU AMBAZO ZINAHUSISHA WATAALAMU NA SIYO RAIS. MI NADHANI KWELI HAKUSTAHILI KUWA MBUNGE UKIZINGATIA NA ELIMU YAKE NI KUCHAKACHUA. HAPANA SHAKA ILI NINAUHAKIKA NALO HUYU KIJANA ALIFELI FORM SIX TAMBAZA. AMEKUWA KIDANGANYA WATU ETI YEYE NI KICHWA WAKATI ANASHINDS KWENYE MITANDAO YA MAGAIDI WAKINA AFONSO DHLAKAMA. TANZANIA IMUANGALIE SANA HUYU NANGA ATALIANGAMIZA TAIFA
Post a Comment