ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 16, 2012

Waziri Membe kwenye Mahojiano na Voice of America

 : Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye mahojiano na Hadija Riyami wa idhaa ya Kiswahili ya Radio Vocie of America kuhusu Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye picha ya pamoja na mtangazaji wa Kipindi cha Televisheni cha Voice of America cha Infocus Africa Bw. Vincent Makori mara baada ya mahojiano ya dakika 45. Mahojiano hayo yatarushwa kwenye vipindi vya Infocus ndani ya mwezi wa Juni na Julai.
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akipiga picha na Hadija Riyami wa idhaa ya Kiswahili ya Radio Vocie of America kuhusu Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania, mkutano wa AGOA na masuala mengine yahusuyo bara la Afrika.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akipiga picha na Mwamoyo Hamza wa idhaa ya Kiswahili ya Radio Vocie of America kuhusu Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania, mkutano wa AGOA.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa VOA na Afisa Mawasiliano wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya mahojiano kuhusu ziara ya Marekani.
 Afisa Habari wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani akiwa kwenye picha ya pamoja na mtangazaji wa Kipindi cha Televisheni cha Voice of America cha Infocus Africa Bw. Vincent Makori mara baada ya mahojiano ya dakika 45. Mahojiano hayo yatarushwa kwenye vipindi vya Infocus ndani ya mwezi wa Juni na Julai.
Juu na chini ni  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiongea na Mkuu wa Programu na Utangazaji wa SHirika la Utangazaji la VOA mara baada ya kufanya mahojiano na idhaa ya kiswahili radio na televisheni kipindi cha InFocus Africa. 

No comments: