Msanii Jose Chameleone kutoka nchini Uganda, ametua jijini Dar es Salaam muda huu tayari kwa shoo ya Tamasha la Matumaini linalofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Martha Mwaipaja akilipamba Tamasha la Matumaini
Kwa picha zaidi Bofya Read More
Kundi la Glorious Celebration likifanya makamuzi katika Tamasha la Matumaini ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam muda huu.
Mkongwe wa filamu za Bongo Movie, Fatuma Makongoro 'Bi Mwenda' amesema leo ameingia uwanjani na mikoba yake yote ili kuhakikisha Bongo Movie inapata ushindi katika mechi yao ya leo dhidi ya Bongo Fleva.
Amesema watashinda 4-0 katika mchezo wa leo.
Mechi ya Bongo Movie na Bongo Fleva inataraji kuanza muda si mrefu na hapa ni maandalizi ya timu zote mbili.
(PICHA KWA HISANI YA GPL)
No comments:
Post a Comment