Leo Jumamosi, Tarehe 7/7/2012 (Saba saba)
Wabongo wote karibuni Frederick, MD, USA katika GET TOGETHER PARTY ya Watanzania.
Muda ni saa kumi jioni. Walete watoto waje kucheza na wenzao
Njoo na kitu chochote, Maji ya kunywa, Drinks, Snacks, Potluck etc
Address ni Baker Park, opposite na 305 Fleming Ave, Frederick, MD 21701.
Ukisoma tangazo hili mfahamishe na mwenzako
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
No comments:
Post a Comment