Watanzania DMV wakiwa katika futari ya pamoja iliyofanyika Hilandale Park iliyopo mtaa wa New Hampshire, Silver Spring, Maryland, Pichani kushoto ni Dr. Hamza Mwamoyo akiongea jambo na Afisa Ubalozi wa Tanzania Nichini Marekani, Nd. Abbas Missana.
Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye Futari siku ya Jumamosi July 21, 2012 Hilandale Park iliyopo mtaa wa New Hampshire, Silver Spring, Maryland.
Watanzania wa DMV wakipata futari ya pamoja Hilandale Park iliyopo mtaa wa New Hampshire, Silver spring, Maryland.
Watanzania wa DMV pamoja na marafiki zao wakijumuika pamoja katika Futari siku ya Jumamosi July 21, 2012.
Watanzania wa DMV pamoja na marafiki zao wakiwa kwenye Futari ya pamoja siku ya Jumamosi July 21, 2012, Hilandale Park, Silver Spring, Maryland.
Watanzania wa DMV wakiwa na watoto wao katika mjumuiko wa Futari ya pamoja iliyofanyika Hilandale Park.
shoto ni Katibu wa CCM tawi la DMV, Yacub Kinyemi akiwa na Aziz kwenye mjumuiko wa Futari ya pamoja iliyofanyika siku ya Jumamosi July 21, 2012 Hilandale Park Silver Spring, Maryland.
Watanzania wa DMV pamoja na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye Futari ya pamoja Hilandale Park iliyopo mtaa wa New Hampshire, Silver Spring.
Watanzania wa DMV na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye Futari iliyofanyika Hilandale Park.
Wakina Mama wa DMV wakipata Futari ya pamoja.
Watanzania wa DMV pamoja na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye Futari Hilandale Park iliyopo mtaa wa New Hampshire siku ya Jumamosi July 21, 2012.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
1 comment:
Ramadhani kareem wandugu !!
Post a Comment