ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 23, 2012

MECHI YANGA 1 - 1 MAFUNZO - YANGA INASHINDA KWA PENATI 5-4



Mashbaiki wa Yanga wakiongozwa na mchekeshaji Masanja Mkandamizaji pamoja na muimbaji Charlz Baba wakiwa jukwaani kuisapoti klabu yao.

Athumani Iddi Chuji anaifungia Yanga penati ya ushindi na kuipeleka nusu fainali.

PENATI
YANGA - 1, 1, 1, 1, 1
MAFUNZO -1, 0, 1,1,

No comments: