ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 23, 2012

MA DJ WA ZAMANI WAKIWA KWENYE MSIBA WA MTOTO WA DJ WA ZAMANI SUPER THEO


Madj wa enzi hizo wakiwepo na wapya wachache wakiwa wanashiriki kwenye msiba wa mtoto kipenzi 
wa Dj wa Zamani Super Theo ambaye alifariki kwa ajali ya gari iliyotokea jumamosi tarehe21 July 2012 Magomeni Mapipa


No comments: