ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 25, 2012

MCHUNGAJI APANIA KUWANIA URAIS TANZANIA

 MCHUNGAJI  FAUSTIN MUNISH

Mimi mchungaji Faustin Munishi. Natamka kwamba Nitagombea Urais Tanzania bila chama cha kisiasa. Nitakuwa Mgombea Huru bila siasa. Nitakapokuwa Rais Nitagawana madaraka na Jeshi, pia wadau wote hasa wapiga kura. Ukiritimba wa CCM kutumia madaraka vibaya utakuwa kwenye kaburi la sahau. EE MUNGU NISAIDIE NIONGOZE TANZANIA. NIPE HEKIMA NIJUWE JINSI YA KUWAONGOZA WATU WAKO WALIO WENGI TANZANIA. AMEN.”

6 comments:

Anonymous said...

sasa hii mnaonaje,siyo mjahidina huyu

Anonymous said...

Angekuwa sheikh anataka kugombea tungeambia anataka kuleta "udini" au siasa Kali. Badri sasa je? Analeta nini au "ROHOMTAKATIFU"

Anonymous said...

Nilitaka kusema hilo hilo...ni kweli, its funny...uislam ndio udini lakini dini nyingine sio udini. na majina yote mabaya ni ya waislam katika kamusi ya kiingereza. Tunaiga kutoka kwa watawala wetu.

Anonymous said...

anataka Umaarufu. Anajua hawezi kupata. Rais anachaguliwa na nchi nzima, huyu bwana ni tabu kujulikana.

Anonymous said...

hicho cheo cha uchungaji ni jina tu, yeye ni mtu kama mtu tu, na anaitaji watu kama watu kupita kura, kuhusu dini weka pembeni kwanza. kuangalia ni nini au kitu kipi anafanya, alishafanya kwa wanainchi wake ukiondoa udini.

Anonymous said...

nawaunga mikono na miguu ya akili zangu zote wadau walio weka comment zao hapo juu so tujiulize hii kitu imekaje hata haya na aibu hawaona sasa wenzetu wanakuja wazi wazi ndo maana zanzibar inataka kujitenga na mmesikia Mombasa mambo yanavyokwenda ebwana eeeh hata muunga hapendi uonevu na sasa anawapatia watu haki zao.
hamuwezi daima mkawa mnawakandamiza wenzenu na kuwafanya mazuzu eti serikali haina dini ila wananchi wake kakwambia nani mnataka kuzubaisha bwege,Tanzania bwana nuksi kweli na nchi ile ina dini na sasa tunawaona wanajitokeza vifuwa nje bila aibu yeyote