TANZIA


wakati wa uhai wake
Jeffrie Bernard Jones, mume wake Florah Mnkande alipokuwa anatoka Ohio siku ya Jumatatu Julai 9, 2012 alipata ajali ya gari. Amefariki dunia Julai 14, 2012. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake
18114 Samuel Circle
Hagerstown, MD 21740
Kwa ajili ya mazishi, accounts imefunguliwa kama ifuatavyo kupitia Florah Anna Mnkande:
Bank of America - Routing# 052001633 na account# 446024022257
Tunatarajia mazishi yatafanyika Jumamosi Julai 21, 2012. Ibada ya mazishi itaanza saa Nnne(4) asubuhi katika kanisa la “The Way of the Cross Gospel Ministries” (HUDUMA YA INJILI KWA NJIA YA MSALABA) lililopo 3621 Campus Drive, College Park, MD 20740.
Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na:
Baraka Daudi 301-792-8562
John Mbatta 703-863-2727
Ferdinand Shideko 240-476-6718
Salum Mkamba 443-538-1821
David Mtema 703-589-0616
Lutamila Sallu 202-487-1843
Julia Shirima 301-305-5731
Rossie Wasira Masika 240-706-0406

Jeffrie Bernard Jones
-----------------------------------------------------------------------------------------------
OBITUARY


During his heydays
Jeffrie Bernard Jones, husband of Florah Mnkande was involved in an auto accident on Monday July 9, 2012. He was pronounced dead on July 14, 2012. Funeral arrangements are being organized at his residence:
18114 Samuel Circle
Hagerstown, MD 21740
To defray funeral costs a donation account has been established through Florah Anna Mnkande as follows:
Bank of America - Routing# 052001633, Account# 446024022257. Your donation will be highly appreciated.
Burial ceremonies are scheduled to take place on Saturday July 21, 2012 at
“The Way of the Cross Gospel Ministries Church” located at: 3621 Campus Drive, College Park, MD 20740. beginning at 10 A.M.
For more information please contact:
Christina Jones 302-331-6511
Baraka Daudi 301-792-8562
John Mbatta 703-863-2727
Ferdinand Shideko 240-476-6718
Salum Mkamba 443-538-1821
David Mtema 703-589-0616
Lutamila Sallu 202-487-1843
Julia Shirima 301-305-5731
Rossie Wasira Masika 240-706-0406
No comments:
Post a Comment