FUTARI YA PAMOJA
WASHINGTON DC
Kwaniaba ya Chama Cha Mapinduzi,
Mwenyeki na Uongozi wa CCM Tawi la DMV tunawatakia waislam wote duniani
Ramadhani njema.
Pia Tunawakaribisha watu wote katika
futari ya pamoja
Kama ilivyo desturi tunaungana nao
katika mwezi huu wa Ramadhani.
Watanzania wote mnakaribiswa katika
futari hiyo ya pamoja.
SIKU: IJUMAA: AUGUST 3, 2012
WAKATI: 7.30
P.M.
ADDRESS:
10615 New Hampshire Avenue
Silver spring, MD 20903
RAMADHANI KAREEM
UONGOZI WA TAWI

3 comments:
sasa huu uongozi wa ccm nimekubaliana nao pia tunashukuruni sana mungu awazidishie kidumu chama cha ccm
Swali kwa wanazuoni,ukifuturishwa na watu wasio na fardhi,saumu inaswihi? Tupeni jibu ili ijumaa tutafute pa kwenda wakati m/kiti ccm/dmv atakapofuturisha!! Tuache kuingilia mambo ya ushabiki ktk ibada!!
Si ushabiki ndugu mara ngapi vikundivya watu au makambpuni yanafuturisha?Zantel,vodacom na mengineyo na hawaleti udini kabisa nadhani haijalishi kwa hilo mimi sioni kuna tatizo,kuna waislam ambao wako hapo katika chama hicho ukimtolea mbali mwenyekiti kwa wachache tu kuna Kinyemi,Zaina,Alawi ambao wote ni waislam!na inakubalika kwahilo ni chama kinafuturisha!!!chunguza uone makampuni mangapi huwa yanafuturisha.Asante sana.
Post a Comment