Neesha akiwa amepozi tayari kwa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa
Kivazi cha pili cha Neesha maalumu kwa siku yake special ya kuzaliwa
Neesha akiwa amepozi na kivazi chake cha tatu tayari kwa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa
Neesha akiwa na baba mwenye nyumba wake akitoa speech kumpongeza kwa ajili ya siku yake maalumu ya kuzaliwa
Neesha akiwalisha keki ya birthday familia yake kwenye siku yake ya kuzaliwa
Neesha akimingo na rafiki zake wakati wa siku yake ya kuzaliwa
kwa picha zaidi mtembelee dada iska






No comments:
Post a Comment