Mtangazaji amesema rekodi za matengenezo ya meli zinaonesha kuwa ferry was not designed to operaten in open seas. Makamu wa rais anajibu the government did not want an accident to happen. Patamu hapo.
Familia za marehemu should sue the government. serikali waeipa kibali meli hiyo kuoparate tokea dar mpaka zanzibar na documents zinaonyesha kama haitakiwa iwe kwenye open sea. owner new about it, akatoa cha juu watu wakala sasa its time to face the music. cha ajabu watu wachini kama vile nahodha na watu wa chini yake si kazi wako mbaroni na owner yuko somewhere anaongea na wakubwa jinsi gani watamsaidia. Tanzania bwana watu wenye hela will never be held responsible.
to take it as act of God Mheshimiwa Seif Alli Idi,je family yako ingekuwepo ungesema hayo,mnatufanyia utumbo utumbo wenu ingekuwa si utumbo utumbo wenu tunge Take it as act of God but its not the act of GOD na mnajinufaisha wenyewe na family zenu so we will not take it as act of God, but God will pay us for all that you did and keep on doing to us poor innocent people. AMIN
5 comments:

corrupt gov all im say its time for CHANGE
Constitution hairuhusu kushtaki viongozi na serikali, lets change it firsr
Post a Comment