ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 24, 2012

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MZEE MANGUSHI

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika mazishi ya kada wa CCM mzee
Azzan Ally Mangushi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam
leo mchana. Mzee Mangushi aliwahi pia kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM
wilaya ya Kinondoni

No comments: