ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 6, 2012

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA DAR.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya bidhaa zitokanazo na Wannyamapori wakati alipotembelea banda la Wizara ya Mali asili na utalii katika viwanja vya maonyesho vya  Sabasaba jijini Dar es Salaam leo.

Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa PPF Bwana William Eriyo akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mradi wa uwekezeaji wa hoteli ya kisasa iliyojengwa na shirika la PPF mjini Mwanza wakati Rais alipotembelea banda la PPF katika viwanja vya maonyesho ya sabasaba.

1 comment:

Anonymous said...

Ni lini atapanga ratiba yakuwatembelea wagonjwa kwenye hospitali za rufaa kuhakikisha kweli wanapata huduma stahili na sio kusubiri ripoti tu. Ambazo ripoti zenyewe baadaye tunakuja kuambiwa alidanganywa na washauri wake!!!!