ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 20, 2012

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Apokea Ujumbe Wa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea juzi ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea juzi ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments: