ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 8, 2012

ROBO FAINALI, LEO JUMAPILI,TANZANIA DMV KUCHEZA NA CAMEROON


Tanzania DMV
Cameroon DMV

Kesho Jumapili Timu ya Tanzania DMV watajitupa tena uwanjani hatua ya robo fainali watakapocheza na mshindi wa group A ambae ni Cameroon, mechi imepangwa kuchezewa katika viwanja vya Germantown saa 10:30 jioni. leo Juamapili.

Mazoezi yatakuwepo Meadowbrook park kuanzia saa 12 jioni. kwa wale ambao hawatapata nafasi ya kwenda kuangalia mtanange wa Tanzania DMV na Cameroon karibuni tufanye mazoezi na ukipata taarifa hii mtaarifu mwenzio, Asante.

No comments: