Kunako mida jioni kulitokea virugu Unguja leo baada ya kundi la UAMSHO ambao walitaka kufanya mkutano wa hadhara na kusoma kisomo kwa waliopata maafa ya kuzama kwa meli ya Skagit.
Kundi hilo lilinyimwa kibali cha kufanya hivyo na baadae likaanza kufanya vurugu ya kuchoma matairi barabarani na kupelekea Polisi na FFU kutumia Mabomu ya machozi kulitawanya kundi hilo.
Chini ni Video ya Vurugu hizo
No comments:
Post a Comment