WATANZANIA WAISHIO LOS ANGELES, CA WALISHEREHEKEA SABA SABA KWA NYAMA CHOMA
Hapa ni Khalifa Majid Mweka Hazina wa The Friend of Tanzania in Southern California na member wa TIGU. Hapa ndugu Khalifa akiandaa kitoweo, Bbq hiyo ilifanyika woodly part huko Los Angeles. Picha kwa hisani ya bwana Jingo wa LA.
Akina mama wakibarizi na kupata viburudisho vya hapa na pale kabla ya chama choma. Na kama unavyo ona kukiwa na bendera ya nchi kuonesha uzalendo hata kama kama tupo ubakini nyumbani ni nyumbani.
WebRep
currentVote
noRating
noWeight
1 comment:
Anonymous
said...
Kweli LA hii mbona kumekauka kama Dodoma vile lol..!
1 comment:
Kweli LA hii mbona kumekauka kama Dodoma vile lol..!
Post a Comment