Picha za ajali ya meli katika bandari ya Malindi Zanzibar, wananchi wakiwa wamekusanyika kwa huzuni kutambua maiti na majeruhi wa ajali hiyo. (Picha zote na
Ramadhan Othman- Ikulu Zanzibar).
Askari wa vikosi vya Ulinzi na Usalama vikiwa katika hekaheka za kuopoa miili ya watu waliofariki katika ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment