
Zay B Dullah akiwa na Mama Zay B katika Futari ya Birthday yake iliyofanyika Bladensburg, Maryland Ijumaa Aug 10, 2012

Zay B Dullah akimlisha keki Dullah A Zay

Zay B akimlisha keki mdogo wake

Zay B akipata Ukodak Moment na Ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye Birthday Futari yake.

Zay B akimlisha keki mwenyekiti wa CCM DMV, Loveness Mamuya
No comments:
Post a Comment