Majaji wa Shindano la kusaka vipaji vya kuimba la Epiq Bongo Star Serch linaloondelea kwenye vianja vya Coco Beach wakihakikisha kila kitu kinakwenda sawa kuchukua taarifa sahihi za washiriki hao. |
Washiri hao wakiimba pamoja kabla yakwenda kuwaona majaji. |
Vyomba vya asili kama kawaida navyo vipo kwenye mchuano huo mshiriki pichani akipiga gitaa la asili. Picha na Raha za Pwani |
No comments:
Post a Comment