ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 13, 2012

CHADEMA NA CCM USO KWA USO


Shabani Mseba katibu wa CCM tawi la New york na Kada wa CHADEMA Libelatus Mwang'ombe wa DMV wakiteta machache wawili hao walivyo kutana  Brooklyn, N Y katika futari hiliyo andaliwa na viongozi wa jumuhia ya watanzania wa hapa New York. kada huyo wa Chadema Libe akiwa kama mgeni mwalikwa katika jioni hiyo na baada ya futari Libe na Shaban walisala swala ya Isha pamoja. (People Power), CCM Oyeeee. 


Mufti Maftah na Bilal wakijipaia futari tayari kwa kufutari
Shaban Mseba Katibu wa CCM tawi la New York akiwaongoza wana jumuia kupata futari
Latifa Fruit P mbele ya ukodak wa vijimambo akipata futari
Nae Legendari wa Bongo Hip Hop Zavara alikuwepo kujipatia futari sambamba na mzee wa mwamsho Ally Ibrahim na pembeni ni mama yetu Bi Laila mama mwenye nyumba wa Mzee Mwilima
Baia akiachia smile lenye afya mbele ya ukodaki wa vijimambo na pembeni yake ni Hadiatou
Mufti Maftah Mwenyekiti wa tawi la CCM New York na Vitongoji vyake akiteta jambo na bwana Hajji Khamis Mwenyekiti wa jumuia ya watanzania  waishio New York baada ya kufutari na huku wakisubiri kuswali sala ya isha. Kwa picha zaidi bofya (read more) picha na Ny Ebra  vijimambo NYC






No comments: