ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 13, 2012

TIMU YA POOL YA TANZANIA, DMV YATINGA FAINALI

 Timu ya Tanzania ya Pool ya Washington DC imeifunga timu ya Wamarekani inayoitwa OFF CONSTATLY na kuweza kuingia Fiinaly zitakazofanyika hapo hapo Galaxy  ya Silver Spring Jumanne Aug 14, 2012.
 George Mwaswaliba ambae jana ndio pekee aliyepoteza mchezo
 Taji kulia akimuelekeza jambo George
 George akiendelea na mchezo
 Chris mchezaji wa OFF CONSTATLY ambae alipoteza mechi ya kwanza alipofungwa na Alex Mfugale wa Timu Tanzania (hayupo pichani
 Mchezaji Justin wa OFF CONSTATLY akiendelea na mechi ya tatu ambayo alipoteza dhidi ya mchezaji Seif wa Timu Tanzania (Hayupo pichani)
Seif (kushoto) akipata maelekezo kutoka kwa mchezaji mwenzake Alex wakati mchezo ukiendelea wakati alipokua akicheza na Justin Mchezaji wa OFF CONSTATLY (hayupo pichani)
 Dullah mchezaji wa Timu Tanzania akiendelea  kumuadhibu mpinzani wake
Musa nae akiwa mchezoni ambae pia alishinda mchezo wake

No comments: