ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 25, 2012

CHOMA NYAMA YA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly(kushoto) akipata picha ya Wanajumuiya wa DMV waliofika kwenye nyama choma iliyofanyika Wheaton, Maryland Jumamosi Aug 25, 2012
Wageni mbalimbali waliotoka majimbo ya jirani na Massachusetts wakijumuika pamoja na Watanzania wenzao DMV
Dada na mdogo mtu katika picha ya pamoja wakati wa nyama choma.
Wanajumuiya wakipata picha ya pamoja.
Nyama choma ikiendelea
Wanajumuiya katika picha ya pamoja.
Wanajumuiya wakipata nyama na huku wakibadilishana mawili matatu.
Wanajumuiya wakujumika pamoja kwenye nyama choma ya Jumuiya iliyofanyika Wheaton, Maryland.
Kaka na dada familia ya Nyang'anyi katika picha ya pamoja.
Peter Walden (kushoto) na Cartias Mazonge na mwanae wakipata picha ya pamoja.
Ni Melisa (wapili toka kulia) akiwa na Celina katika picha ya pamoja na watoto wao.
Kwa picha zaidi bofya read more

1 comment:

Anonymous said...

DMV kuna neema, watu tuna afya!