ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 26, 2012

DIAMOND KUTUA KESHO JUMATATU TAYARI KWA MAKAMUZI SEPTEMBER MOSI

Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond anatarajiwa kutua kesho Jumatatu Washington, DC kwa ajili ya show atakayoifanya September 1, 2012 DMV.

Kwa mujibu wa Mhe. Abdulrahman Kinana ambae alikua mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa tawi la CCM DMV alisema kutoka na sababu zisizozuilika Diamond hakuweza kuwepo kwenye Ufunguzi wa Tawi hilo uliofanyika Jana na badala yake atafika Jumatatu Aug 27, 2012 na kufanya show yake Sept 1 hapa hapa DMV.

Vijimambo iliongea na Diamond wakati akiwa Club usiku wa kuamkia Jumapili na yeye kuthibitisha kuingia kapiltali Jumatatu, Ukumbi bado kujulikana taarifa zaidi zitafuata. 

1 comment:

Anonymous said...

so atakuwa wapi exactly?