ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 26, 2012

BOSS RUGE AMKABIDHI MSHINDI WA GARI LA SERENGETI FIESTA 2012 MOSHI

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group,
Rugemalila Mutahaba(kulia),akikabidhi funguo na fairi la gari hiyo kwa mshindi
 wa Serengeti Fiesta 2012 Moshi.


Mshindi wa gari hiyo, Adam Ramadhan Gogo baada ya kukabidhia gari

No comments: